GET /api/v0.1/hansard/entries/251528/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 251528,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251528/?format=api",
    "text_counter": 76,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, jibu la Waziri Msaidizi lina kasoro fulani. Ni kama Waziri Msaidizi alijua kwamba kutakuwepo na upepo mkali mwaka wa 2005 ndio maana akatenga Kshs10,000. Ningetaka kumwuliza kama Kshs15,000 zinaweza kuyajenga upya madarasa hayo. Kuna madarasa manne lakini matatu tayari yamebomoka. Ni darasa moja tu ambalo limebaki. Je, Kshs18,000 zatosha kuyajenga upya madarasa hayo matatu yaliyobomoka? Tunafahamu kwamba Kshs1 milioni zitatumika kujenga madarasa mapya wala si kuyarekebisha yale ambayo yalibomolewa na upepo."
}