GET /api/v0.1/hansard/entries/251818/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 251818,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251818/?format=api",
    "text_counter": 52,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kingi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 27,
        "legal_name": "Amason Jeffah Kingi",
        "slug": "amason-kingi"
    },
    "content": "Bw. Spika, ninalichukua swala hili kwa uzito sana na ndio maana sikutaka kuleta ripoti ambayo haijathibitishwa. Nimeliahidi Bunge kwamba nitaleta ripoti kuhusu swala hili baada ya mwezi mmoja. Bw. Spika, iwapo kuna mwananchi ambaye amepoteza maisha yake, ripoti ikiletwa kwetu tunafanya uchunguzi unaostahili na tunachukua hatua. Iwapo Mbunge wa Wundanyi ana jambo lo lote ambalo linamtatiza, anafaa kupiga ripoti kwa polisi na tutachukua hatua."
}