GET /api/v0.1/hansard/entries/251880/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 251880,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251880/?format=api",
"text_counter": 114,
"type": "speech",
"speaker_name": "Capt. Nakitare",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Kutoka mwaka wa 1992 hadi sasa ni miaka 14, na Serikali haifahamu kwamba watu hawa ambao walifukuzwa kutoka mashamba yao na kunyang'anywa mali yao wanaishi sokoni, watoto wao wanazaliwa sokoni na wengine barabarani na wengine waliuawa. Serikali inajikokota ilhali watu hawa wanaendelea kuumia. Watu hawa walikuwa na mali yao---"
}