GET /api/v0.1/hansard/entries/251884/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 251884,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251884/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Capt. Nakitare",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika, kwa kunijulisha. Naomba Wizara hii ituambie kama itaweza kulipa ridhaa kwa watu ambao walipoteza mali yao ama watawasilisha kesi yao katika Mahakama ya Kimataifa huko Hague ambapo kesi yao itaamuliwa na mahakama kuu."
}