GET /api/v0.1/hansard/entries/251885/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 251885,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251885/?format=api",
"text_counter": 119,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kingi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 27,
"legal_name": "Amason Jeffah Kingi",
"slug": "amason-kingi"
},
"content": "Bw. Spika, kuna kamati ambayo iliundwa na Serikali, kama nilivyotangulia kusema hapo awali, na ilianza kazi yake Novemba, 2004. Kamati hii imekamilisha kazi yake na wakati huu inatayarisha ripoti tunayotarajia itapewa Serikali. Nina hakika kuwa ripoti hii itaisaidia Serikali ili iweze kuwasaidia wananchi wote wa Kenya walioathiriwa na vita vya kikabila vya mwaka wa 1992."
}