GET /api/v0.1/hansard/entries/251887/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 251887,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251887/?format=api",
"text_counter": 121,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kingi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 27,
"legal_name": "Amason Jeffah Kingi",
"slug": "amason-kingi"
},
"content": "Bw. Spika, nafikiri kuwa swala hilo la Bajeti na kiwango kilichotengwa kugharamia watu hao ni Swali lingine tofauti. Nimesema kwamba ripoti inatayarishwa na kamati tuliyoiteua na kwamba masilahi ya wananchi wote waliothiriwa na vita vya kikabila vya mwaka wa 1992 yataangaliwa."
}