GET /api/v0.1/hansard/entries/251890/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 251890,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251890/?format=api",
"text_counter": 124,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kingi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 27,
"legal_name": "Amason Jeffah Kingi",
"slug": "amason-kingi"
},
"content": "Bw. Spika, nataka kumhakikishia Mbunge mwenzangu kwamba tuko na uwezo wa kuwasaidia walioadhiriwa na vita vya kikabila katika mwaka wa 1992. Tuliamua kuunda Kamati hiyo ili ituletee mapendekezo ya kutekeleza. Imefanya kazi yake vizuri. Kwa hivyo, Mbunge mwenzangu asiwe na wasiwasi."
}