GET /api/v0.1/hansard/entries/252840/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 252840,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/252840/?format=api",
    "text_counter": 76,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Swala la usalama ni swali nyeti sana. Waziri Msaidizi anasema kwamba Wizara inajitahidi kuhakikisha kwamba kuna usalama nchini. Kunawezaje kuwa na usalama ikiwa Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi wa CID hawafanyi kazi pamoja? Kabla hamjatatua jambo hilo usalama utadumishwa namna gani?"
}