GET /api/v0.1/hansard/entries/253084/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 253084,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/253084/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ninampongeza sana Mbunge ambaye ameliuliza Swali hili. Hii ni kwa sababu mwaka mmoja na nusu, niliuliza Swali kama hili na sikupata jibu halisi. Inaonekana kwamba hakuna mipango halisi ya kukabiliana na tatizo la mitaa ya mabanda katika nchi hii. Je, Waziri ana mipango gani ya kuhusisha Wizara mbalimbali, hasa Wizara ya Fedha, ili atenge pesa za kuboresha mitaa ya mabanda? Zaidi ya robo tatu ya watu wa Nairobi wanaishi katika mitaa ya mabanda."
}