GET /api/v0.1/hansard/entries/254210/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 254210,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254210/?format=api",
    "text_counter": 46,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Bw. Spika, kila kunapokuwa na kupeleka huduma, inakuwa ni huduma kupelekwa kutoka Mombasa hadi kwingine, kama Nairobi, lakini hatuoni huduma zikiletwa kutoka Nairobi kwenda Mombasa. Je, Waziri Msaidizi anafahamu kwamba kuondoa hizo huduma za forodha kunapunguza kazi kwa vijana kule Mombasa?"
}