GET /api/v0.1/hansard/entries/254213/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 254213,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254213/?format=api",
    "text_counter": 49,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Huyu ndugu yangu hakujibu swali langu vile nilivyomuuliza. Sijui ni matatizo ya lugha au nini. Nimemuliza kama anafahamu kwamba hicho kitendo cha kuhamisha huduma kinapunguza ajira kwa vijana kule Mombasa?"
}