GET /api/v0.1/hansard/entries/254901/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 254901,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254901/?format=api",
    "text_counter": 52,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 246,
        "legal_name": "Joseph Matano Khamisi",
        "slug": "joseph-khamisi"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, naomba kumuuliza Waziri wa Ardhi Swali Maalum lifuatalo. (a) Je, Waziri anafahamu kwamba zaidi ya maskwota 300 wamepewa notisi ya siku 14 kuanzia Machi 20 kuhama kutoka ploti moja mjini Kilifi kupisha ujenzi wa kituo cha polisi? (b) Ikiwa hivyo ni kweli, ana mpango gani wa kuwapa makao maskwota hao ambao wameishi katika ploti hiyo kwa miaka mingi?"
}