GET /api/v0.1/hansard/entries/254902/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 254902,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254902/?format=api",
"text_counter": 53,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kamama",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Lands",
"speaker": {
"id": 165,
"legal_name": "Asman Abongutum Kamama",
"slug": "asman-kamama"
},
"content": " Bw. Naibu Spika, ninaomba kujibu. (a) Ninafahamu. (b) Hawa maskwota walipewa pahala pegine pa kwenda mwaka 2002, upande wa Kisumu Ndogo, huko Kilifi. Lakini wengi wao waliuza ardhi zao na kurudi kuskwoti katika uwanja wa polisi."
}