GET /api/v0.1/hansard/entries/254903/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 254903,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254903/?format=api",
"text_counter": 54,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 246,
"legal_name": "Joseph Matano Khamisi",
"slug": "joseph-khamisi"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, sitaki kumshtaki Waziri Msaidizi kwa kulihadaa Bunge hili. Lakini ningependa kusema kwamba hasemi ukweli. Ukweli wa mambo ni kwamba watu hawa wamekaa katika ploti hio kwa zaidi ya miaka 50. Kama kweli walipewa ploti mwaka wa 2002 na wakarejea katika ploti ya polisi, kwa nini polisi hawakujenga kituo chao wakati ardhi yao ilipokuwa wazi? Kwa nini walingojea mpaka maskwota wakarudi kwenye ardhi yao?"
}