GET /api/v0.1/hansard/entries/254904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 254904,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254904/?format=api",
    "text_counter": 55,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kamama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 165,
        "legal_name": "Asman Abongutum Kamama",
        "slug": "asman-kamama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, sijui kama Mbunge wa Bahari ananielewa vizuri. Nilisema kwamba hawa maskwota walipatiwa pahali pengine upande wa Kisumu Ndogo, huko March 29, 2006 PARLIAMENTARY DEBATES 143 Kilifi. Hii ploti ilikuwa imetengewa ujenzi wa kituo cha polisi. Kwa hivyo, serikali inatafuta pesa za kuwajengea kituo hicho. Nina hakika pesa za kujenga kituo hicho cha polisi zitapatikana. Kwa hivyo, inafaa hawa maskwota warudi Kisumu Ndogo, mahala ambapo walipatiwa."
}