GET /api/v0.1/hansard/entries/254905/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 254905,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254905/?format=api",
    "text_counter": 56,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kagwima",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 286,
        "legal_name": "Francis Nyamu Kagwima",
        "slug": "francis-kagwima"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ningependa kumuuliza Waziri Msaidizi kama anaweza kuunda kamati maalum ya kuangalia shida za maskwota nchini. Tuna maskwota Rift Valley na sehemu nyingine za Mkoa wa Mashariki. Je anaweza kuharakisha kuundwa kwa kamati maalum ya kushugulikia maskwota ili kuhakikisha Wakenya wote wana makao ya kudumu?"
}