GET /api/v0.1/hansard/entries/254906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 254906,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254906/?format=api",
"text_counter": 57,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kamama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 165,
"legal_name": "Asman Abongutum Kamama",
"slug": "asman-kamama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, tuna ofisi maalumu katika Wizara yetu inayohusika na maskwota. Kwa hivyo, hatuna haja ya kuanzisha ofisi nyingine. Hiyo ofisi ipo na kazi inaendelea. Pia tuna mpango wa kuhakikisha kuwa maskwota wote katika nchi hii wanapatiwa ardhi kupitia mpango wa Settlment Fund Trustees. Kwa hivyo, kama mhe Kagwima ana swali la kuuliza anakaribishwa katika ofisi yetu inayohusika na maskwota."
}