GET /api/v0.1/hansard/entries/254909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 254909,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254909/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Capt. Nakitare",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, Waziri Msaidizi amechagua kulitumia neno \"maskuota\". Kuna vikundi viwili ambavyo tunavizungumzia. Kuna watu ambao walifukuzwa kutoka kwa mashamba yao, na hao si maskuota. Skuota ni mtu ambaye alikuwa akifanyia kazi tajiri katika siku za Ukoloni, na mwishowe akawachwa katika ile sehemu ya makao. Je, ni mpango gani Waziri Msaidizi alionao, ili kuwasaidia watu hao, walioangaishwa kutoka mwaka wa 1962, ili wajisikie kuwa Wanakenya halisi?"
}