GET /api/v0.1/hansard/entries/254910/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 254910,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254910/?format=api",
    "text_counter": 61,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kamama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 165,
        "legal_name": "Asman Abongutum Kamama",
        "slug": "asman-kamama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, nilisema hapo awali kwamba tuna mpango maalumu wa kuwapatia watu wasio na makao sehemu za ardhi. Kwa mfano, katika Mkoa wa Rift Valley, ambapo Bw. Nakirate anapotoka, tuna mipango zaidi ya hamsini ya kuhakikisha kwamba watu wasio na ardhi watapatiwa ardhi. Kwa hivyo, kama kuna watu ambao wana shida huko Trans Nzoia, wanafaa kuenda katika Ofisi ya Wizara ya Ardhi huko Trans Nzoia, ili wajiandikishe. Sisi tutahakikisha kwamba watapata makao."
}