GET /api/v0.1/hansard/entries/254911/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 254911,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254911/?format=api",
    "text_counter": 62,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 246,
        "legal_name": "Joseph Matano Khamisi",
        "slug": "joseph-khamisi"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, sisi tuko tayari kuhama kutoka ploti hiyo ikiwa tutapewa makao mahali pengine. Waziri Msaidizi amesema kwamba iko ploti katika sehemu ya Kisumu Ndogo. Je, anaweza kutuhakikishia kwamba ni kweli ploti hiyo iko, na kama wananchi walioathiriwa wanaweza kuihamia kabla ya wakati wao wa kuondolewa kufika?"
}