GET /api/v0.1/hansard/entries/254912/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 254912,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254912/?format=api",
"text_counter": 63,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kamama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 165,
"legal_name": "Asman Abongutum Kamama",
"slug": "asman-kamama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ningependa kusema kwamba kuna maskuota ambao wana tabia ya kuhamahama. Wanapopewa sehemu ya ardhi, wao huiuza na kuendeleza shida zao katika sehemu nyingine ya ardhi. Ningependa kusema kwamba kama watu hao wana shida, wanafaa kwenda katika Ofisi ya Wizara ya Ardhi, huko Kilifi na kujiandikisha. Tuko na mpango wa kuwapatia watu wa Pwani sehemu ya ardhi huko Kwale na pia Kilifi. Kama kuna watu ambao wana malalamiko halali, wanafaa kwenda katika Ofisi ya Wizara ya Ardhi na tutatatua shida zao."
}