GET /api/v0.1/hansard/entries/254913/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 254913,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254913/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Nafikiri hili ni jambo muhimu sana, ambalo tunafaa kujua kuhusu Pwani. Katika Mkoa wa Pwani, kuna maskuota wengi. Je, Waziri Msaidizi anasema kwamba tunafaa kwenda katika sehemu zetu za uwakilishi Bungeni na kuwaambia watu kwamba wakienda katika Ofisi za Wizara ya Ardhi watapata sehemu za ardhi? Na ni lini watakapozipata?"
}