GET /api/v0.1/hansard/entries/254914/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 254914,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254914/?format=api",
"text_counter": 65,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kamama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 165,
"legal_name": "Asman Abongutum Kamama",
"slug": "asman-kamama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, sikusema hivyo. Sikusema vile Mbunge wa Wundanyi alivyosema, kwa sababu tukitangazia maskuota habari hiyo, utapata watu walio na ardhi wakijidai kuwa ni maskuota. Kwa hivyo, tuko na mpangilio halisi wa kuhakikisha kwamba wale watu wasio 144 PARLIAMENTARY DEBATES March 29, 2006 na sehemu za ardhi, mambo yao yanaangaliwa sawa sawa. Yule atakayeenda kutangaza, hayo yatakuwa mambo yake. Hata hivyo, tuna mpangilio halisi, na watu wote walio na shida wanafaa kuenda katika ofisi za Wizara ya Ardhi na mambo yao yataangaliwa."
}