GET /api/v0.1/hansard/entries/254999/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 254999,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/254999/?format=api",
"text_counter": 150,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Abdalla",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 245,
"legal_name": "Abdallah Jumaa Ngozi",
"slug": "abdallah-ngozi"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Msemaji aliye Sakafuni amesema kwamba Kiongozi wa Upinzani alisema kwamba Serikali ya Umoja wa Kitaifa haifai na akamweleza aende kortini! Yeye hafahamu kuna kesi kortini na Bw. Spika alifafanua jambo hilo kinaga ubaga, ama alikuwa akilala kama kawaida yake?"
}