GET /api/v0.1/hansard/entries/255007/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 255007,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/255007/?format=api",
"text_counter": 158,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, jambo hili liliongewa Bungeni. Hata hivyo, ninalotaka kusema ni kuwe na vigezo sawa. Waziri huyo alikiri kwamba kampuni ilimlipia bibi yake safari ya kwenda ulaya na akarudisha pesa hizo baadaye. Sasa ninauliza, kama kosa lilifanyika, litaisha kwa sababu pesa zilirudishwa?"
}