GET /api/v0.1/hansard/entries/255122/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 255122,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/255122/?format=api",
"text_counter": 30,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communication",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": " Bw. Spika, jambo langu la nidhamu ni fupi sana. Ninataka kuuliza kama ripoti ya kamati imeporwa na gazeti fulani na kuchapishwa wakati ripoti hiyo bado haijafika Bungeni, je, gazeti kama hilo linaweza kuadhibiwa kwa namna yeyote? Je, vyombo vya habari vina uhuru wa kufanya wizi kama huo? Na wizi kama huo ukitendeka, ni hatua gani itachukuliwa?"
}