GET /api/v0.1/hansard/entries/255123/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 255123,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/255123/?format=api",
    "text_counter": 31,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Wamwere, ninaomba kukujibu kwa njia ifuatayo. Kwanza, mimi na waporaji hatuishi katika boma moja. Kwa sababu mimi na waporaji hatuishi katika boma moja, ninafikiri mawazo yangu na yao ni tofauti sana. Mawazo ya waporaji na yangu ni tofauti kabisa. Ningependa kuwaomba waporaji watoe uporaji wao nje ya Bunge hili, na waheshimu kanuni na taratibu za Bunge kama zilivyo. Hakuna gazeti au mtu au kikundi cha watu ambacho kinaweza kuvunja sheria na taratibu za Bunge hili na kuepuka adhabu ikiwa Bunge hili linataka kuwaadhibu. Kwa hivyo, ninawapa onyo kwamba ni lazima waheshimu taratibu zetu. Waporaji wa aina yeyote, tafadhalini ondokeni kutoka Bunge. Ahsanteni."
}