GET /api/v0.1/hansard/entries/255535/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 255535,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/255535/?format=api",
    "text_counter": 200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Waziri anaelewa ukweli halisi. Hata kule Taita Taveta, askari wa wanyama pori wanawagandamiza wananchi, na Waziri amesikia malalamishi yao. Ni uchunguzi gani utakaofanywa? Serikali zinaanguka hivyo kwa kukataa kuwasikiliza wananchi."
}