GET /api/v0.1/hansard/entries/255570/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 255570,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/255570/?format=api",
    "text_counter": 235,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wamwere",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
    "speaker": {
        "id": 352,
        "legal_name": "Koigi Wamwere",
        "slug": "koigi-wamwere"
    },
    "content": " Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Waziri amesimama kwa jambo la nidhamu akitaka kujua kama jambo ambalo liko kortini linaweza kuzungumziwa hapa. Hili ni jambo ambalo linatakiwa kutolewa uamuzi na Kiti. Lakini sio Mzungumzaji aulizwe kama jambo liko kortini au haliko kortini. Ni muhimu Kiti kitoe uamuzi juu ya swala hilo."
}