GET /api/v0.1/hansard/entries/257601/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 257601,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/257601/?format=api",
    "text_counter": 491,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nisikilize Mbunge wa Juja! Nimeamrisha Dr. Shaban aondoe usemi huo wote na amesema kwamba ameuondoa na ameomba msamaha. Na hiyo inahusu biashara haramu na biashara ya dawa za kulevya. Sasa sioni kwa nini turudie hapo tena kwa sababu mimi nimeridhika na nina hakika Wajumbe wengine wameridhika. Kama wewe unataka kujiingiza ndani, hiyo itakuwa tofauti kwa sababu Dr. Shaban hajarudia hivyo."
}