GET /api/v0.1/hansard/entries/258191/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 258191,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/258191/?format=api",
"text_counter": 466,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Shaban",
"speaker_title": "The Minister for Youth Affairs and Sports",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Bw. Spika, siasa za ubingwa na ushabiki, haswa kuzungumzia maswala ya biashara--- Kila Mbunge na mwananchi ana haki ya kufanya biashara kivyake. Wengi wetu tunafanya biashara lakini hatutangazi tunafanya biashara za aina gani. Mara nyingi tumesikia kwamba Waheshimiwa Wabunge hapa wanafanya biashara. Biashara za hakika zinafanywa wazi wazi. Tunafanya biashara za kila aina, zingine za halali na zingine za haramu."
}