GET /api/v0.1/hansard/entries/258197/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 258197,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/258197/?format=api",
    "text_counter": 472,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe, Shaban, mimi kama Spika na pia Wabunge hatuwezi kuridhika na hayo. Wewe ndio umesema jioni hii kwamba kuna Wabunge wanaofanya biashara haramu. Kama unataka kuthibitisha, na ni jukumu lako kufanya hivyo, lazima ueleze ni Wabunge gani."
}