GET /api/v0.1/hansard/entries/260475/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 260475,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/260475/?format=api",
    "text_counter": 492,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kabogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 162,
        "legal_name": "William Kabogo Gitau",
        "slug": "william-kabogo"
    },
    "content": "Bw. Spika, maneno ya dawa za kulevya sio maneno ya mchezo. Mimi nimeridhika lakini kuna watu wana tabia ya kutaja maneno ambayo hayatajwi hapa kwa meza kwa sababu kuna upingaji hapa Bungeni. Nafikiri umenielewa pia."
}