GET /api/v0.1/hansard/entries/26091/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 26091,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/26091/?format=api",
"text_counter": 79,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bw. Spika, ningependa kuuliza Waziri Msaidizi juu ya barabara ya Maralal-Baragoi kwa sababu haipitiki. Hii barabara iko katika hali mbaya na hata chakula cha msaada hakiwezi kupitishwa ilhali watu wanakufa njaa. Kama ni mambo ya barabara, afadhali angalie barabara zote."
}