GET /api/v0.1/hansard/entries/26092/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 26092,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/26092/?format=api",
    "text_counter": 80,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kinyanjui",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 48,
        "legal_name": "Lee Maiyani Kinyanjui",
        "slug": "lee-kinyanjui"
    },
    "content": "Bw. Spika, ninatambua kwamba barabara hiyo iko katika hali mbaya lakini tutafanya kila tuwezalo kuhakikisha kwamba chakula ambacho kinaenda kusaidia Wakenya walio na njaa kinafika. Kupitia ofisi yetu, nitahakikisha kwamba mpango wa dharura umefanywa ili kutengeneza sehemu hiyo ya barabara."
}