GET /api/v0.1/hansard/entries/261637/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261637,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261637/?format=api",
    "text_counter": 26,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kabogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 162,
        "legal_name": "William Kabogo Gitau",
        "slug": "william-kabogo"
    },
    "content": "Bw. Spika hili Swali limekuwa Bungeni kila wakati na leo ni mara ya sita. Limewahi kuweko tarehe 15 Novemba, 2011, tarehe 24 mwezi huo huo, tarehe 30 mwezi huo na tarehe nane Desemba. Haya ni malipo ya wafanyakazi. Ukiangalia katika rekodi ya Bunge, wakati hili Swali lilikuja mwezi wa Desemba, Waziri aliomba kwamba apewe wiki mbili ili aweze kuona kwamba masikizano yamerekodiwa katika korti. Kwa hivyo, kusema kwamba ni kesho, langu ni kukuuliza tu uweze kutusaidia ili lijibiwe kesho kutwa ili Bunge liweze kujua kama hawa wafanyakazi wamelipwa."
}