GET /api/v0.1/hansard/entries/261638/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261638,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261638/?format=api",
    "text_counter": 27,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mheshimiwa Mbunge wa Juja, nimekusikiza lakini kama vile Waziri Msaidizi amesema, suluhisho linakaribia. Kwa hivyo, itakuwa ni jambo zuri kama tungempa muda zaidi kwa mfano hadi wiki ijayo Alhamisi, ili aweze kuleta ripoti Bungeni."
}