GET /api/v0.1/hansard/entries/261662/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261662,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261662/?format=api",
    "text_counter": 51,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kajembe",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Environment and Mineral Resources",
    "speaker": {
        "id": 163,
        "legal_name": "Ramadhan Seif Kajembe",
        "slug": "ramadhan-kajembe"
    },
    "content": "Nakubaliana na Mheshimiwa aliyeuliza Swali hili kwamba ile njia “causeway in Winam Gulf” imezoroteka. Imezorota kwa sababu tangu ijengwe ni miaka mingi na wakati ilipojengwa kulikuwa hakuna mambo ya mazingira. Kwa hivyo, ilijengwa tu bila kufikiria mazingira ni nini. Lakini katika mkutano wa Mawaziri wa Africa Mashariki ambao sasa wanasimamia uhifadhi wa Ziwa Victoria, wamekubaliana kwamba lazima njia hiyo itengenezwe tena. Kwa hivyo, tayari kuna mtaalamu ambaye amewekwa ili afanye kazi hiyo. Atatoa makisio ambayo yatapelekwa katika Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki. Hivyo ni kusema kwamba Mawaziri wa Afrika Mashariki ambao"
}