GET /api/v0.1/hansard/entries/261668/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261668,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261668/?format=api",
    "text_counter": 57,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kajembe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 163,
        "legal_name": "Ramadhan Seif Kajembe",
        "slug": "ramadhan-kajembe"
    },
    "content": "Bw. Spika, kama alivyosema Eng. Rege, kuna mashirika ambayo sio ya Serikali ambayo yametoa msaada katika mradi huu. Ningependa kusema bila kuona haya kwamba hakuna shirika lisilo la Serikali ambalo limetoa msaada wowote wa pesa. Ikiwa Eng. Rege yuko na wasi wasi tungependelea tujue hayo mashirika yasiyo ya Serikali ambayo yameleta ruzuku hio lakini kulingana na sisi hakuna shirika ambalo limeleta ruzuku yoyote ile."
}