GET /api/v0.1/hansard/entries/261670/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 261670,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261670/?format=api",
"text_counter": 59,
"type": "speech",
"speaker_name": "Eng. Rege",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 135,
"legal_name": "James Kwanya Rege",
"slug": "james-rege"
},
"content": "Bw. Spika, nashukuru sana kwa nafasi hii. Ningependa kuchukua nafasi hii kumuuliza Waziri Msaidizi ni pesa ngapi imetumika kwa kutoa magugu hayo kutoka Ziwa Victoria kufikia sasa. Hapo Karachuonyo bado hatujaona hata hela moja ikitumiwa kwa kutoa magugu hayo. Tarehe 23 mwezi wa pili mwaka uliopita, mheshimiwa alituambia kwamba baada ya mwaka mmoja atakuwa amemaliza hayo magugu katika Ziwa Victoria. Inafaa atueleze kama hayo magugu yameisha ama bado."
}