GET /api/v0.1/hansard/entries/261671/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261671,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261671/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kajembe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 163,
        "legal_name": "Ramadhan Seif Kajembe",
        "slug": "ramadhan-kajembe"
    },
    "content": "Bwana Spika, mpaka wakati huu tunapozungumza, tumetumia Kshs170 milioni katika yale maeneo ya ubunge yanayozungukwa na hizo kwekwe. Kwa hivyo, katika Kshs178 milioni, ni Kshs26 milioni ambazo zimetumiwa kwako. Hizi pesa zimetumiwa aidha kwa kufanya kazi kwa mikono au kwa vifaa. Hivyo ni kusema – kama nilvyojibu Swali hili – kwamba kwekwe zilizobaki pamoja na kutengeza Daraja la Winam Gulf, tumepata mtaalamu, analeta makisio na atafanya kazi hiyo."
}