GET /api/v0.1/hansard/entries/261688/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 261688,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261688/?format=api",
"text_counter": 77,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kajembe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 163,
"legal_name": "Ramadhan Seif Kajembe",
"slug": "ramadhan-kajembe"
},
"content": "Bw. Spika, kwanza, ninataka niseme kwamba sijapotosha Bunge. Pili, ninataka niseme kwamba Wizara yangu na kamati inayohusika na mambo ya mazingira, tulikubaliana tufanye mkutano Kisumu na Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira akamtuma mwakilishi wake. Hawa Wabunge ambao wanasema wanahusika zaidi – na mimi ninaamini kuwa wanahusika – wote walikuwa wana kazi Nairobi na wakatuma mwakilishi wao! Walimtuma---"
}