GET /api/v0.1/hansard/entries/261708/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 261708,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261708/?format=api",
"text_counter": 97,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kajembe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 163,
"legal_name": "Ramadhan Seif Kajembe",
"slug": "ramadhan-kajembe"
},
"content": "Lakini ninataka uniruhusu, Bw. Spika, niseme kuwa wakati Bw. Outa alikuwa pale, zile kamati zimeweka hii kandarasi kutengezwa katika sehemu za Waheshimiwa Wabunge, alilalamika kwa kusema zile kamati zingine hazikuwajulisha Wabunge wao na nikatoa agizo, kama Waziri Msaidizi wa Mazingira, kwamba wakati huu pesa hii ikija, badala ya Waheshimiwa Wabunge kuwaachia kamati katika maeneo yao ya ubunge, Wabunge watawakilishwa kikamilifu. Nimetoa amri hiyo, Bw. Spika, na itafuatwa."
}