GET /api/v0.1/hansard/entries/261709/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261709,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261709/?format=api",
    "text_counter": 98,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wamalwa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 148,
        "legal_name": "Eugene Ludovic Wamalwa",
        "slug": "eugene-wamalwa"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Waziri Msaidizi, wakati wa mazishi ya marehemu Prof. Wangari Maathai, tulionyeshwa kwamba mmea huu unaweza kutumika kutengeneza jeneza. Ni juhudi gani Serikali imefanya kusaidia haswa vikundi vya vijana na akina mama wanaoishi karibu na Ziwa Victoria ili waweze kutengeza majeneza na waweze kupata riziki kutokana na mmea huu?"
}