GET /api/v0.1/hansard/entries/261711/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261711,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261711/?format=api",
    "text_counter": 100,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kajembe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 163,
        "legal_name": "Ramadhan Seif Kajembe",
        "slug": "ramadhan-kajembe"
    },
    "content": "Bw. Spika, mimi pia nimesikia maneno hayo, kama alivyosikia Bw. Wamalwa, lakini sina chembe chembe za kitaalam kuhusika na utengenezaji wa majeneza kutumia kwekwe hii. Lakini ninataka niseme kuwa katika vikao vyetu katika Wizara, tumeligusia jambo hili na wataalamu wetu wanajaribu kuzungumza. Tumewaambia watuletee taarifa kamili juu ya swala hili."
}