GET /api/v0.1/hansard/entries/261714/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261714,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261714/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kajembe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 163,
        "legal_name": "Ramadhan Seif Kajembe",
        "slug": "ramadhan-kajembe"
    },
    "content": "Bw. Spika, katika majibu yangu hapo awali, nimesema kwamba hivi karibuni, tutatangaza yule ambaye atachukua kandarasi kutengeza hii njia na hili daraja. Katika majibu yangu hapo awali pia nilisema kwamba tayari tumeweka mtaalamu kutupatia bei, yaani consultant na amesema kuwa ripoti yake itamalizika mwisho wa mwezi huu wa February. Ninataka nikuhakikishie kuwa maneno hayo yanaharakishwa ili kwamba---"
}