GET /api/v0.1/hansard/entries/261717/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 261717,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261717/?format=api",
"text_counter": 106,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Ogindo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 120,
"legal_name": "Martin Otieno Ogindo",
"slug": "martin-ogindo"
},
"content": "Bw. Spika, je Waziri Msaidizi ako kwa kanuni kwa kupotosha hili Jumba hili kwa kusema kuwa kuna consultancy inaendelea na vile vile kwa kusema kuwa kuna kandarasi imepeanwa. Ni yapi yanaendelea na ni lini yatafanyika?"
}