GET /api/v0.1/hansard/entries/261721/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 261721,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261721/?format=api",
"text_counter": 110,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kajembe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 163,
"legal_name": "Ramadhan Seif Kajembe",
"slug": "ramadhan-kajembe"
},
"content": "Asante. Nataka nifahamishe Bunge kwamba kazi ya kuondoa kwekwe katika Ziwa Victoria ni ushirikiano wa nchi tano na tuna mktaba na chi tano. Hakuna nchi moja inaweza kusema itafanya kazi kivyake. Jambo hili litasilishwa katika Baraza la Mawaziri. Kitu nataka kusema ni kwamba nazungumza kama Waziri Msadizi wa Mazingira. Ninamjulisha Mhe Rege kwamba mradi huu utatekelezwa haraka iwezekanavyo. Pia nataka niseme kwamba daraja liko na ninakubaliana na Wabunge kuwa haliko katika hali nzuri. Litatengenezwa na nataka nikwambie nina fedha; kama litaangukiwa na mmonyoko wa udongo tutaundoa mmomonyoko wenyewe."
}