GET /api/v0.1/hansard/entries/261722/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261722,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261722/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Olago",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 5,
        "legal_name": "John Olago Aluoch",
        "slug": "john-aluoch"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika. Mambo ambayo jambo hili kwekwe si lakuchuliwa urahisi. Shida ambayo tumekuwa nayo katika ghuba ya Winam yote ni kwamba pesa ambazo zinatolewa na Wizara zinatumika kwa njia ambayo si nzuri. Zinatumiwa na maafisa wa Wizara na wale wa Lake Victoria Environment Programme bila kuhusisha Wabunge ama madiwani. Pesa zote ambazo zimetumika, ni Shs178"
}