GET /api/v0.1/hansard/entries/261725/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261725,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261725/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kajembe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 163,
        "legal_name": "Ramadhan Seif Kajembe",
        "slug": "ramadhan-kajembe"
    },
    "content": "Mhe Spika, narudia tuu. Jawabu langu ni kwamba Wizara yangu inakubaliana na Wabunge kwamba daraja limezoroteka. Pia nimesema kwamba pesa zilizotumika Kshs 178 million kulikuwa na wataalamu ambao walikuwa wameshikana na kamati katika maeneo ya ubunge ya hawa Wabunge. Nakubaliana nao kwamba hawakushirikishwa wakati wa kutumika kwa pesa hizo; hawakushirikishwa katika utendaji kazi huu. Lakini sasa nawahidi nikiwa mimi mwenyewe kwamba wakati huu pesa zikiingia nitawaita pamoja. Tutawashirikisha. Msiwe na shaka juu ya jambo hili."
}